mersin escort porn

 

T A N G A Z O

 

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inawatangazia wanafunzi wote inaowadhamini kuendelea na masomo kwa vyuo vya nje, kufika katika ofisi za Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar jengo la Majestik sinema kwa Unguja na jengo la Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Chakechake Pemba kwa ajili ya kujaza mikataba mipya kwa mwaka wa masomo 2019/20 kuanzia tarehe 08/07/2019 hadi tarehe 30/08/2019.

Wanafunzi wanaosoma katika vyuo vya Zanzibar na Tanzania Bara wanaombwa kusubiri utaratibu watakaopangiwa kuhusiana na zoezi la ujazaji wa mikataba mipya.

   Atakaesikia tangazo hili anaombwa amuarifu na

   mwenziwe.

Ahsanteni