mersin escort porn

Kufungwa kwa zoezi la utoaji na urejeshaji wa mikataba kwa wanafunzi wanaoendela na masomo

Kufungwa kwa zoezi la utoaji na urejeshaji wa mikataba kwa wanafunzi wanaoendela na masomo.

Baada ya tarehe 30 Novemba zoezi la utoaji mikataba kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo litafugwa na wale ambao watashidwa kujaza mikataba hawatolipiwa masomo yao tena.

Kutangazwa majina ya awali ya waombaji walioteuliwa kupatiwa mikopo ya elimu ya juu

Kutangazwa majina ya awali ya waombaji walioteuliwa kupatiwa mikopo ya elimu ya juu.

Bodi ya mikopo Elimu ya Juu Zanzibar itatangaza orodha ya majina ya waombaji mikopo walioteuliwa na Kamati ya Elimu ya Juu na Kuthibitishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar kama ilivyo katika matakwa ya kisheria.

Utoaji na urejeshaji wa Mikataba ya Mikopo kwa waombaji wapya

Utoaji na urejeshaji wa Mikataba ya Mikopo kwa waombaji wapya.

Baada ya waombaji wapya kuteuliwa kupata mikopo watalazimika kujaza mikataba na zoezi hilo litathibisha kuwa wameridhia kupewa mikopo na Bodi ya mikopo. Na wale ambao watashidwa kujaza mikataba nafasi zao zitajazwa na waombaji wengine ambao watateuliwa katika awamu zitazofuata.

Kufungwa kwa zoezi la utoaji na urejeshaji wa mikataba kwa wakopaji wapya

Kufungwa kwa zoezi la utoaji na urejeshaji wa mikataba kwa wakopaji wapya.

Baada ya muda huu hakutakuwa na mwanafunzi atakaeruhusiwa kujaza mkataba.