News

MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WAOMBAJI 2020/2021

2021-06-28 13:50:37.0 Download

Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar unapenda kuwajulisha waombaji wote wa Mikopo ya Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo 2021/22 kuwa maombi yao wanapaswa kuyawasilisha kupita mfumo malum wa maombi ya mtandaoni unaojulikana  ZHELB Online Loans Application System (ZOLAS)