News

Mahafali ya 17 SUZA

2021-12-30 11:55:50.0

Rais wa Zanzibar na Mweneyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), akiwa katika Mahafali ya 17 ya Chuo hicho, yaliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, uliopo Tunguu Mkoa Kusini Unguja.