Wajibu wa Mwanafunzi:
1.Kusoma na kuelewa Mwongozo wa Maombi ya Mkopo kwa mwaka husika.
2.Kuwasilisha maombi ya mkopo kwa HESLB ya Tanzania kabla ya kuomba ZHESLB kwa mwanafunzi anayefuatilia Shahada katika Taasisi za Tanzania.
3.Kukamilisha na kuwasilisha maombi yao mtandaoni kupitia mfumo wa uombaji mikopo LMS wa ZOLAS.
4.Kuandaa viambatanisho vyote kusaidia maombi yao (Institute Admissiton letter, Gurantor form details, Gurantor's Zan IDs, and Job ID etc).
5.Kutembelea mfumo wa uombaji mikopo LMS wa ZOLAS kwa masasisho ya maombi ya mkopo.
6.Kuwasilisha taarifa muhimu kwa Afisa Mikopo (Registration number and bank details).
7.Kusaini malipo yaliyopelekwa chuoni kwake ndani ya muda uliowekwa.
8.Kumjulisha Afisa Mikopo mapema, kama kuna tatizo lolote linalohusiana na mikopo yao.
9.Kutembelea tovuti hii ya BMEJZ kwa taarifa zaidi kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu.
10.Kuhakikisha usahihi na ukweli wa taarifa za mwombaji.
11.Kumkumbusha mwombaji kuhusu wajibu wao.